top of page
Search

MrB X Sandra Kamicha - Nikumbushe Lyrics


Mmh nikumbushe

Mmh nikumbushe


Ujana ni maji ya moto, nisije kapiga mbizi kuogelea


Nipe malezi ka mtoto, niepushe na raha za dunia

Naogopa, huu ubatili sinibadilishe

Niko kwa noma, nipe busara ninehemeshe

Sina nyuma, mbele ni kama kiza kinene

Nakutegemea, Mola mpaji unitendee

Nafahamu ahadi zako ni kweli na amina (na amina)

Ila matatizo yanisaulisha wako wema

Basi nikumbushe



Mmh Nikumbushe

(Nikumbushe)

Mmh Nikumbushe

(Nikumbushe unanipenda sana mimi)

Mmh Nikumbushe

(Kwamba unaniwaziaga mema)

Mmh Nikumbushe


Nasahau unaniwaziaga mema, ipo siku nitashuhudia

Nafahamu kwamba sijakamilika, kila siku, nakukosea

Nasahau unaniwaziaga mema, mie nitashuhudia

Nafahamu kwamba sijakamilika, mie, nakukosea



Bila shaka ahadi zako ni kweli na amina (na amina)

Ila matatizo yanisaulisha wako wema (wako wema)

Ahadi zako, ni kweli na amina

Ila matatizo, yanisahaulisha wako wema

Ahadi zako, ni kweli (na amina)

Ila matatizo, yanisahaulisha (wako wema)

Basi Nikumbushe


Mmh Nikumbushe

(Nikumbushe)

Mmh Nikumbushe

(Nikumbushe utafuta chozi langu)

Mmh Nikumbushe

(Ipo siku nitatabasamu mimi)

Mmh Nikumbushe

(Naamini yote haya yatapita tu)


Yesu sitopitwa na huruma zako

Nikumbushe, wafahamu yalo nifika

Nikumbushe, ahadi zako zitatimia

Sitozama, nitaishi kushuhudia

Nikumbushe

(Kama mbegu, sitooza matopeni)



Nikumbushe

(nitokapo niingiapo upo nami)

Nikumbushe

(Mi mwanao, umeniweka mawazoni)

Nikumbushe

(Ahadi zako ni kweli na amina)


 
 
 

Comments


JIF MEDIA SERVICES

Subscribe Form

Thanks for submitting!

+254110444587

  • Instagram
  • Twitter
  • Facebook

© JIF MEDIA SERVICES 2023

bottom of page