top of page
Search

MrB & Sandra Kamicha - Mwambie Lyrics




Imani, imekupungukia

Kisirani, walala waamkia

Unanini we, Maisha kuyakomesha

Hivi kwanini, Imani kuilegeza

Hivi kwanini, mizigo kujibebesha

Bora umwamini Yesu ndiye mesiya

Usinung’unike (Mwamini)

Usikasirike eh (Mwamini)

Usibabaike eh (Mwamini)

Usife moyo


Chorus

Mwambie, atatenda

Mwambie, atatenda

Mwambie. Atatenda

Mwambie, atatenda


(Hasinzii)


Yesu huja kwa wakati, ishara yuakufahamu vyema


Tena ana mikakati, kufanya hali yako njema

Yesu huja kwa wakati, ishara yuakufahamu vyema

Tena ana mikakati, kufanya hali yako njema

Mambo yake laini, yeye hatokuvunja roho

Rehema zake hazikomi, tena hazina kipimo

Mambo yake laini, yeye hatokuvunja roho

Pendo lake kamili, tena linaridhisha roho


Usinung’unike (Mwamini)

Usikasirike (Mwamini)

Usibabaike (Mwamini)

Usife moyo


Chorus

Mwambie, atatenda

Mwambie, atatenda

Mwambie. Atatenda

Mwambie, atatenda


(Ni yuleyule) Jana leo na milele

Habadiliki

Alijishusha, uinuke

Kadharauliwa, uheshikime

Alisulubiwa, uokoke

Usife moyo


Mwambie, yote

Atasuluhisha, yote

Alimaliza, yote

Usife moyo

Chorus

Mwambie (Mwambie), atatenda

Mwambie (Yesu), atatenda

Mwambie (Yote). Atatenda

Mwambie, atatenda


(Atakuja kwa wakati) Mwambie, (Hachelewi) atatenda

(Tena ana mikakati) Mwambie (Hakosei) atatenda

(Nira yake ni laini) Mwambie (Mzigo wake ni mweepesi) atatenda

(Atakupa tumaini) Mwambie, (Hebu toa wasiwasi) atatenda


 
 
 

Comments


JIF MEDIA SERVICES

Subscribe Form

Thanks for submitting!

+254110444587

  • Instagram
  • Twitter
  • Facebook

© JIF MEDIA SERVICES 2023

bottom of page