MrB ft Joy Kamau - Awesome God Lyrics
- Just In Faith

- Nov 30, 2021
- 1 min read
Uamuzi wa moyo wangu, nikufuate

Uamuzi wa moyo wangu, nikufuate
Mapenzi ulokusudia, yatendeke
Navutiwa na kisa chako, pale kalivari ulivyonikomboa
Mpotevu ulinifanya wako hiyo mijaledi misingetoboa
I won't shy in fame in shame
I’ll arise to praise your name
I will shout in pain in gain
I’ll arise to praise your name
(Refrain)
Mi bango lako, sina aibu kwako
Habari zako nitasimulia
Mi bango lako, sina aibu kwako
Habari zako nitasimulia
Awesome God (Awesome God)
Awesome God you do me well.
Awesome God (Awesome God)
Awesome God you do me well.

Ntakuonyesha kwa mienendo yangu (Yahweh)
Ntakunena kwa midomo yangu (We ndo’ story yangu)
Ntakuchora kifuani mwangu (Ntakusimulia ah)
Ntakupenda moyoni mwangu
(Refrain)
Maana Mi bango lako, sina aibu kwako
Habari zako nitasimulia
Mi bango lako, sina aibu kwako
Habari zako nitasimulia
Awesome God (Awesome God)
Awesome God you do me well. {You never fail}
Awesome God (Awesome God) {You’re an awesome God}
Awesome God you do me well.
Maana Mi bango lako, sina aibu kwako
Habari zako nitasimulia




Comments